-enye hamu; -enye uchu

eager

kwa hamu

eagerly

tai

eagle

jicho kali

eagle-eyed

tai mdogo

eaglet

sikio

ear

maumivu ya sikio

earache

kiwambo cha sikio

eardrum

mapema

early

alama ya sikio

earmark

-pata

earn

mtu anayepata ujira

earner

mapato

earnings

chombo cha kusikilizia

earphone

usikivu

earshot

-a kuziba masikio

earsplitting

dunia; ardhi; ulimwengu

earth

tetemeko la ardhi

earthquake

mnyoo

earthworm

nta (uchafu) wa sikio

earwax

mdudu mwenye kiwiliwili kirefu na mabawa yenye vinyweleo

earwig

urahili

ease

kiegemeza

easel

kwa urahisi

easily

urahisi

easiness

mashariki

east

upande wa mashariki

easterly

-a mashariki

eastern

-enye kuelekea mashariki

eastward

kwa kuelekea mashariki

eastwards

rahisi; -a urahisi

easy

mlo

eat

-a kulika

eatable

mlafi; mpenda kula

eater

mahala pa kula

eatery

pembe za paa zinazojitokeza

eaves

-sikiliza kwa siri maongezi ya watu

eavesdrop

msikilizaji maongezi ya watu kwa siri

eavesdropper

mpingo

ebony

kujawa na furaha

ebullience

-enye furaha

ebullient

mtu wa pekee

eccentric

kasisi; padri

ecclesiastic

ngazi

echelon

mwangwi

echo

kupatwa

eclipse

-a elimu ya uhusiano wa viumbe na mazingira

ecological

-a kiuchumi

economic

-angalifu katika matumizi

economical

kiuchumi; kwa uangalifu

economically

uwekevu; uangalifu katika kutumia fedha

economy

upeo wa hisia

ecstasy

mzingo; mzunguko

eddy

uvimbe utokanao na kujaa maji mwilini

edema

ukingo

edge

-a kiupande

edgeways

-enye hasira za haraka

edgy

-enye kuliwa

edible

amri; sheria

edict

ujenzi wa maadili

edification

jengo kubwa

edifice

-hariri

edit

toleo; chapisho

edition

mhariri

editor

tahariri

editorial

-elimisha

educate

-liyeelimika

educated

elimu

education

-enye kuhusu elimu

educational

mtaalamu wa elimu

educator

mkunga

eel

-a kutia hofu

eerie

-futa

efface

kufuta

effacement