-sogeza; hamisha

displace

kusogeza; msogeo

displacement

onyesho

display

-udhi; -tia uchungu

displease

-liyeudhika

displeased

maudhi; kero

displeasure

utupaji; uondoaji

disposal

-panga; -dhibiti

dispose

mpangilio

disposition

unyang`anyi; upokonyaji

dispossession

-kanusha

disprove

mabishano

dispute

kuharimisha

disqualification

fadhaa

disquiet

maelezo marefu

disquisition

kupuuza; kudharau

disregard

sifa mbaya

disrepute

utovu wa heshima

disrespect

-siye na heshima; -siye na adabu

disrespectful

-tenganisha

disrupt

kukatika; kuvunjika

disruption

kutoridhika; kutotosheka

dissatisfaction

-siyeridhishwa

dissatisfied

-pasua kwa uchunguzi

dissect

kupasua (kukata)ili kuchunguza

dissection

uenezaji

dissemination

kutokubaliana; mfarakano

dissension

kutofautiana; upinzani

dissent

muasi

dissenter

maandiko (maelezo) marefu juu ya mada; hotuba ndefu

dissertation

-enye kupinga

dissident

tofauti

dissimilar

tofauti; hitilafu

dissimilarity

kugeuza; kufanya ionekane vingine

dissimulation

-tawanya

dissipate

mtengano; kutenganisha

dissociation

kufifia; kutoweka polepole

dissolve