kisahani

discus

-zungumza

discuss

majadiliano

discussion

ugonjwa; maradhi

disease

-enye maradhi; -enye ugonjwa

diseased

-toa utumbo

disembowel

-poteza imani

disenchant

-liyepoteza imani

disenchanted

kutenganisha; ukongoaji

disengagement

-tatanua; -kunjua

disentangle

-tenganisha

disestablish

chuki; kutopendezwa

disfavor

-haribu sana

disfigure

-tapika

disgorge

aibu

disgrace

-a kuaibisha

disgraceful

chuki; karaha

disgust

-liyechukizwa

disgusted

kwa chuki; kwa maudhi

disgustedly

dishi

dish

kutopatana

disharmony

-a kuvunja moyo; -a kuhuzunisha

disheartening

-siye -aminifu

dishonest

kwa udanganyifu; bila uaminifu

dishonestly

kutoaminika; udanganyifu

dishonesty

-sio heshimika

dishonorable

mashine ya kuoshea vyombo

dishwasher

maji ya kuoshea vyombo kwenye dishi

dishwater

kutotaka; ukaidi

disinclination

-au viini; -ua vijidudu

disinfect

kiua viini

disinfectant

kuua vijidudu

disinfection

kuvunjika

disintegration

-fukua kaburi

disinter

-siopendelea

disinterested

ufukuaji

disinterment

sahani ya santuri

disk

disketi

diskette

machukio; kutopenda

dislike

-tegua

dislocate

mteguko

dislocation

-siye na uaminifu

disloyal

uasi; kukosa uaminifu

disloyalty

-enye huzuni

dismal

hofu; fadhaa

dismay

-kata; -rarua

dismember

-fukuza; -achisha

dismiss

kufukuzwa; kuachishwa

dismissal

-a kupuuza; -a kutotilia maanani

dismissive

ukaidi

disobedience

-siye na utiifu

disobedient

-kaidi; -asi

disobey

vurugu; fujo

disorder

kutokuwa na mpangilio

disorganization

-kanganya

disorient

-kana; -kataa

disown

kuumbua; kushusha hadhi

disparagement

-enye kutezwa

disparaging

-enye kutofautiana

disparately

hitilafu

disparity

ujumbe

dispatch

-tawanya

dispel

-sio -a lazima; -sio muhimu

dispensable

famasi; zahanati

dispensary

kutoa dawa

dispensation

-gawa; -toa

dispense

mtoaji dawa

dispenser

kutawanyika; kusambaa

dispersal