usia; urithi

devise

kukabidhi kazi madaraka (haki)

devolution

utiifu; utawa

devotion

-a ibada

devotional

-enye kutii; -a dhati

devout

kumcha Mungu

devoutness

umande

dew

tone la umande

dewdrop

ngozi  inayoning`inia chini ya shingo ya  ng`ombe

dewlap

-enye umande

dewy

ustadi; ubingwa

dexterity

kisukari

diabetes

mgonjwa wa kisukari

diabetic

taji la kifalme

diadem

-tambua (-baini) ugonjwa

diagnose

utambuzi wa ugonjwa

diagnosis

ubainishaji wa ugonjwa

diagnostic

mshazari

diagonal

uso wa saa

dial

lahaja

dialect

-a lahaja

dialectal

mazungumzo

dialogue

kipenyo

diameter

almasi

diamond

nepi

diaper

mwekaji  kumbukumbu za kila siku

diarist

kuhar(ish)a

diarrhoea

kitabu cha kumbukumbu za kila siku

diary

dadu

dice

msingi; kanuni

dictate

imla

dictation

dikteta; mtawala wa kiimla

dictator

udikteta

dictatorship

hotuba; utoaji

diction

kamusi

dictionary

-a kufundishia; -enye kuadilisha

didactic

-danganya; -laghai

diddle

-fa; -fariki

die

dizeli

diesel

mlo; chakula

diet

-a mlo

dietary

-tofautiana

differ

tofauti

difference

-a tofauti; mbalimbali

different

-tofautisha

differentiate

mtenguo; utofauti

differentiation

kwaa tofauti

differently

-liongumu; -siokuwa rahisi

difficult

tatizo;; shidas

difficulty

haya; woga; aibu

diffidence

-enye haya; -oga

diffident

kupinda

diffraction

-enea; sambaza

diffuse

mtawanyiko; msambao

diffusion

muhtasari

digest

uwezo wa kumeng`enya

digestibility

umeng`enyaji

digestion

umeng`enyaji chakula

digestive

mchimbaji

digger

tarakimu

digit

-a tarakimu

digital

-kweza; -tukuza

dignify

mtu wa heshima; mtu mwenye cheo kikubwa

dignitary

hadhi

dignity

kutoka nje ya mada (maudhui)

digression

makazi

digs

uchakavu; ukuukuu

dilapidation

mpanuko; mtanuko

dilatation