kukata tamaa

despair

-a kukatisha tamaa

despairing

sana; mno

desperately

kufa moyo; kukata tamaa

desperation

-baya; -kudharaulika

despicable

-dharau; tweza

despise

licha ya; juu ya

despite

mdhalimu

despot

-a kidhalimu; -a kidikteta

despotic

utawala wa kidhalimu

despotism

kitindamlo

dessert

mwelekeo

destination

-liotegemewa kuwa

destined

ajali; mwisho

destiny

-liye masikini sana; fukara sana

destitute

ufukara uliokithiri

destitution

-haribu

destroy

-haribifu; enye kuangamiza

destructive

-enye kutengana

detachable

-liokaa peke yake

detached

kutofungamana

detachment

habari (jambo) moja moja

detail

mtu aliyewekwa kizuizini

detainee

ng`amua; -ona

detect

kugundulika; kushikwa

detection

mpelelezi

detective

maridhiano

detente

kizuizi; gereza

detention

dawa sanisi ya kusafishia

detergent

uharibifu

deterioration

-amua

determine

kizuizi

deterrent

-a kuchukiza sana

detestable

chuki kali; karaha

detestation

mlipuko

detonation

kilipulio

detonator

kipengee; njia ya kuzunguka

detour

kuondoa sumu

detoxification

kupungua; kushuka thamani

detraction

mchongezi

detractor

madhara

detriment

kushuka thamani

devaluation

-shusha thamani

devalue

-enye kuangamiza

devastating

teketezo

devastation

-jenga; -endeleza

develop

maendeleo

development

-ennye kukiuka

deviant

mkengeuko

deviation

chombo; ala

device

shetani

devil

vitimbi; uchimvi

devilment