gharika

deluge

njozi za uongo

delusion

-sumakua; -ondoa usumaku

demagnetize

matakwa

demand

-enye kuhitaji

demanding

mpaka

demarcation

mwenendo; matendo

demeanor

-kichaa; -enye wazimu

demented

kosa; upungufu

demerit

mauti; kufa

demise

demokrasia

democracy

-fanya iwe -a kidemokrasia

democratize

-vunja; -bomoa

demolish

kubomoa; maangamizi

demolition

mbaya; shetani

demon

-kuthibitika; -enye kuthibitika

demonstrable

kwa kuthibitika

demonstrably

-katisha tamaa; -vunja moyo

demoralizing

ubishi; upingamizi

demur

-paka mtu matope; -ummbua

denigrate

-maanisha

denote

-zito; -ingi

dense

kibonyeo; mbonyeo

dent

-a meno

dental

daktari wa meno

dentist

shughuli za tiba ya meno

dentistry

shutuma; mashitaka

denunciation

-kana; -kataa

deny

-ondoka

depart

idara; eneo

department

-a idara

departmental

kuondoka; kusafiri

departure

-a kutegemeka

dependable

mtu anayetegemea mwingine

dependant

kutumainia

dependence

-enye kutegemea

dependent

taswira

depiction

dawa ya kuondolea vinyweleo

depilatory

kuangamiza; kumaliza

depletion

usambazaji wa safu za askari tayari kwa vita

deployment

upunguzaji wa watu

depolarization

ondoleo la wageni katika nchi

deportation

mwenendo

deportment

-staafisha; -ondoa

depose

amana; rubuni

deposit

mwekaji

depositor

upotovu; ufisadi

depravity

-kataza; -kanya

deprecate

upungufu wa thamani

depreciation

dawa ya kupunguza wasiwasi

depressant

-liyevunjika moyo; -enye huzuni

depressed

kugandamiza

depressing

kina

depth

kikundi cha watu  wanaokaimu

deputation

makamu

deputy

kuacha njia ya reli

derailment

kuharibika

dereliction

mzaha; dhihaka

derision

-enye dhihaka

derisive

chimbuko; umbo na maana ya asili ya neno

derivation

-pata; -tokana

derive

mkengeuko; hitilafu

derogation

winchi

derrick

kuondoa chumvi (kwa maji ya bahari)

desalination

-shuka; -teremka chini

descend

mteremko

descent

-eleza; fafanua

describe

maelezo

description

-a maelezo

descriptive

-ona kwa mbali

descry

kufuru; kunajisi

desecration

kukomesha ubaguzi wa rangi

desegregation

jangwa

desert

-liotelekezwa

deserted

mkimbizi; haini

deserter

kuondoka

desertion

-stahili

deserve

kuishiwa maji

desiccation

usanifu

design

-liyetajwa; -teule

designate

cheo (vyeo); hadhi

designation

mbunifu

designer

uhitaji; mvuto

desirability

-a kufaa; -enye kutakiwa

desirable

matakwa; tamaa

desire

dawati; deski

desk

kuachwa kwa ardhi

desolation