-kaanga kwenye mafuta mengi

deep-fry

sana; kwa ndani; kwa kina

deeply

-enye kina kirefu

deep-sea

mbawaala

deer

-umbua; -haribu sura

deface

mtu anayekosa kufika mahakamani anapopaswa

defaulter

ushindwe; kushindwa

defeat

kunya; kwenda choo

defecation

kasoro; dosari

defect

kuasi

defection

hali ya kuwa na kasoro

defectiveness

mkimbizi; msaliti; mtoro

defector

mlinzi; mtetezi

defender

hali ya kujilinda; kujitetea

defensive

-ahirisha

defer

utii; heshima

deference

-a heshima

deferential

kuahirisha

deferment

ukaidi; dharau

defiance

-enye upungufu

deficient

hasara; nakisi

deficit

-enye kuelezeka

definable

-eleza maana

define

bila shaka; kwa hakika

definitely

fasiri

definition

mkengeuko

deflection

kuharibu misitu

deforestation

upotovu

deformation

ulemavu

deformity

-epesi; -erevus

deft

marehemu; hayati

defunct

kuharibika kwa tabia

degenerate

uharibifu wa tabia; upotovu

degeneration

uduni; udhalili

degradation

-kushusha hadhi

degrading

nyuzi

degree

kufanya mungu; kuabudu kama mungu

deification

mungu (miungu); uungu

deist

huzuni

dejection

ucheleweshaji

delay

mjumbe; mwakilishis

delegate

ujumbe; uwakilishi

delegation

-kata; -futa

delete

-enye madhara

deleterious

kukata; kufuta

deletion

uzuri

delicacy

-tamu; -enye ladha nzuri

delicious

furaha

delight

-furahishwa sana

delighted

-a kufurahisha

delightfully

-weka mpaka

delimit

-enye kuweweseka

delirious

mapayo; weweseko

delirium

-peleka; -wasilisha

deliver

kuwasilisha; kukabidhi

delivery

-hadaa; -danganya

delude