shughuli za kibiashara

dealing

mkuu wa kitivo

dean

mpenzi; kipenzi

dear

kifo

death

kitanda cha mauti

deathbed

pigo kubwa; mshtuko

deathblow

mtego wa kifo

deathtrap

ushushaji hadhi

debasement

mjadala

debate

mjadili

debater

fisadi

debauch

stakabdhi ya malipo; karadha ya dhamana ya ushirika

debenture

-enye mwenendo mzuri; -changamfu

debonair

kifusi

debris

deni

debt

onyesho la kwanza

debut

kipindi cha miaka kumi

decade

kushuka kwa kiwango cha utamaaduni na maadili

decadence

anguko; kutumbukia

decay

kifo; mauti

decease

marehemu

deceased

udanganyifu; ulaghai

deceit

-laghai

deceitful

hali ya udanganyifu

deceitfulness

-danganya; ghilibu

deceive

ulegezi mwendo

deceleration

heshima; staha

decency

-enye heshima; -stahifu

decent

kwa heshima; kiheshima

decently

udanganyifu; ulaghai

deception

-amua; -fikia uamuzi

decide

-lioamua; -enye uamuzi

decided

bila shaka

decidedly

desimali; sehemu ya kummi

decimal

uamuzi (maamuzi)

decision

kufanya uamuzi

decision-making

sehemu ya juu

deck

tamko la dhati; tangazo

declaration

-tangaza

declare

-tengua siri

declassify

mnyambuliko wa maneno

declension

mwinamo; mteremko

decline

mteremko; mwinamo

declivity

-oza; -haribika

decompose

uozo; kuharibika

decomposition

nakshi (pambo) la mmandhari

decor

-pamba

decorate

pambo; kupamba

decoration

mpambaji

decorator

-a heshima; -enye adabu

decorous

mtego

decoy

kupungua; kushuka

decrease

sheria; amri

decree

-weka wakfu

dedicate

-liotolewa; -liowekwa wakfu

dedicated

makato

deduction

tendo; kazi

deed

friza

deep-freeze