-a kuponya

curative

afisa mkuu wa jumba la makumbusho (sanaa)

curator

kizuio

curb

matibabu; kutibu

cure

udadisi; uchunguzi

curiosity

mkunjo; mawimbi

curl

membe

curlew

fedha

currency

mkondo

current

kwa sasa

currently

mtaala

curriculum

viungo

curry

laana

curse

-liolaaniwa

cursed

mshale  kionyeshi; kasa

cursor

-punguza

curtail

pazia

curtain

kwa ghafula; kwa mkato

curtly

-liopinda

curved

takia; mto

cushion

ncha

cusp

faluda; kastadi

custard

uangalizi

custody

desturi

custom

mteja

customer

forodha

customhouse

ukataji

cut

-punguza; -kata

cutback

-zuri; -a kuvutia

cute

ngozi ya nje inayolinda ngozi

cuticle

panga; jambia

cutlass

kipande kidogo  cha nyama kilichokatwa

cutlet

kukata

cutoff

-a bei ya chini

cut-price

mkataji nguo

cutter

-katili; -kali

cutthroat

kipande kilichokatwa kutoka kwenye kitu

cutting

mzunguko

cycle

a- mzunguko

cyclic

-enye kuyumba

cyclical

mpanda baiskeli

cyclist

tufani; kimbunga

cyclone

kipako; mguso

dab

mbabaishaji

dabbler

baba

dad

aina ya ua la njano

daffodil

-jinga; -puuzi

daft

jambia

dagger

-a kila siku

daily

kiufundi; kwa kupendeza

daintily

zao litokanalo na maziwa

dairy

mwanamke afanyaye kazi katika shamba la ng`ombe wa maziwa

dairymaid

mwanaume afanyaye kazi katika shamba la ng`ombe wa maziwa

dairyman

upotezaji muda; uzembe

dalliance

hasara; uharibifu

damage