vazi

costume

-a kufurahisha

cosy

kitanda cha mtoto mdogo

cot

nyumba (nje ya mji)

cottage

mtu aishiye kwenye nyumba ndogo

cottager

pamba

cotton

kochi; sofa

couch

kikohozi; kukohoa

cough

halmashauri; baraza

council

diwani; mjumbe wa baraza

councillor

wakili

counsel

ushauri

counselling

mshauri

counsellor

hesabu; idadi

count

kuhesabu kwa kurudi nyuma

countdown

uso; sura

countenance

kaunta

counter

-kinza; -zuia

counteract

ukinzani; upingamizi

counteraction

jibu la mapigo

counterattack

usawazisho

counterbalance

dai la mdaiwa

counterclaim

kinyume na mwendo wa saa

counterclockwise

ujasusi pinzani

counterespionage

ughushi

counterfeit

hatua kinzani

countermeasure

farishi

counterpane

kitu kinachofanana na kingine

counterpart

ishara ya kutambulisha

countersign

mdidimo

countersink

-siohesabika; -sio na idadi

countless

nchi

country

mkazi wa shamba

countryman

mwanamke wa shamba

countrywoman

mkoa; jimbo

county

kukupua serikali; mapinduzi ya serikali

coup

motokaa

coupe

viwili; wawili

couple

ushujaa; ujasiri

courage

-enye ushupavu; -enye ujasiri

courageous

kozi; masomo

course

korti; mahakama

court

-pole; -taratibu; -enye heshima

courteous

jengo la mahakama

courthouse

mtumishi wa korti

courtier

mahakama ya kijeshi

court-martial

chumba cha mahakama

courtroom

binamu

cousin

ahadi

covenant

kufunika; kifuniko

cover

farishi; farisha

coverlet

maficho

covert

-tamani mali ya mwengine

covet

-enye kutamani

covetous

kundi la ndege

covey

ng`ombe

cow

mwoga

coward

woga

cowardice

mchunga ng`ombe

cowboy

-jukunyata; -jikunya

cower

ukaya

cowl

mfanyakazi mwenza

coworker

-enye haya; -enye soni

coy

mbweha wa jangwani

coyote

kaa

crab

ufa

crack

kuchukua hatua kali za kinidhamu

crackdown

-enye nyufa; -enye mpasuko

cracked

kishindo; mlio

crackle

-ya mkwaruzo

crackly

mtu mwenye mawazo za ajabu

crackpot

kitanda kidogo cha mtoto

cradle

kazi za mkono

craft

fundistadi

craftsman

ufundistadi

craftsmanship