konsonanti

consonant

mshiriki; mwenza

consort

mla njama

conspirator

-la njama

conspire

uthabiti

constancy

kundi la nyota

constellation

hofu; fadhaa

consternation

hali ya kufunga choo

constipation

jimbo la uchaguzi

constituency

mpiga kura

constituent

-fanya; -unda

constitute

katiba

constitution

-lazimisha; -shurutisha

constrain

shurutisho; ulazima

constraint

-bana; -minya

constrict

kubana

constriction

ujenzi; mjengo

construction

mjenzi

constructor

konsela; balozi

consul

ofisi konsela; ubalozi mdogo

consulate

-taka ushauri

consult

ushauri; uelekezi

consultancy

mshauri; mwelekezi

consultant

ushauri; mashauriano

consultation

-tumia

consume

mlaji; mtumiaji

consumer

mawasiliano; mgusano

contact

ambukizo

contagion

chombo cha kuweka kitu

container

kitu kinachochafua vitu  vingine

contaminant

sibiko

contamination

-tafakari; taamali

contemplate

fikra; mawazo

contemplation

-a kutaamuli

contemplative

-a wakati mmoja

contemporaneous

dharau; bezo

contempt

dharaulika

contemptible

-a dharau; -a kutweza

contemptuous

mshindani; mgombea

contender

yaliyomo; maudhui

content

-lioridhika

contented

hoja

contention

kuridhika; kutosheka

contentment

shindano; pambano

contest

mshindani

contestant

muktadha

context

-a muktadha

contextual

bara

continent

-a bara

continental

uwezekano; jambo linaloweza kutokea

contingency

kikosi

contingent

-a mara kwa mara

continual

kwa mfululizo; moja kwa moja

continually

-finya

contort

mkunjo wa uso; kufinyika

contortion

mpinda viungo

contortionist

umbo; sura

contour

magendo

contraband

uzuiaji mimba

contraception

kingamimba

contraceptive

mkataba; maafikiano

contract

kinyume

contrary

-vunja; -kiuka

contravene

ukiukaji; uvunjaji

contravention

-changa; -toa

contribute

mchango

contribution

mchangiaji

contributor

-enye kujuta sana

contrite

majuto

contrition

kitu kilichovumbuliwaa; uvumbuzi

contrivance

udhibiti

control

-viliza damu

contuse

kuviliza damu

contusion

fumbo; kitendawili

conundrum

-pata ahueni

convalesce

-itisha mkutano

convene