kifungo

confinement

-hakikisha

confirm

uthibitisho

confirmation

-liothibitishwa

confirmed

moto mkubwa

conflagration

mpambano; vita; ugomvi

conflict

-a kupingana

conflicting

sehemu ya makutano

confluence

-fuata; -tii

conform

mtiifu

conformist

-enye kufuata kanuni  na desturi

conformity

-kabili; -kabiliana

confront

makabiliano

confrontation

-changanya

confuse

rabsha; kiwewe

confusion

-bainisha ukweli

confute

-gandisha; -ganda

congeal

-a urafiki; -a jamii moja

congenial

ukubalianaji; ufananaji

congeniality

aina ya mkunga wa bahari

conger

-songa; -banana

congest

mbanano

congestion

mlundikano

conglomeration

-toa hongera; -pongezi

congratulate

hongera; pongezi

congratulation

-kusanyika

congregate

mkutano

congregation

mkutano

congress

mlingano

congruence

-enye kulingana

congruent

-a kupatana

congruous

msonobari

conifer

kisio; kudhania

conjecture

-a unyumba; -a mke na mume

conjugal

mnyambuliko wa vitenzi; kunyambua vitenzi

conjugation

-sihi sana

conjure

mwanamazingaombwe

conjurer

pua

conk

-unga; -unganisha

connect

uhusiano; mawiano

connection

kiunganishi

connector

ulaji njama wa pamoja

connivance

mjuzi; gwiji

connoisseur

-maanisha

connote

mke na mume

connubial

-twaa kwa nguvu; -teka

conquer

mtekaji

conqueror

dhamiri

conscience

mwanajeshi

conscript

uandikishaji wa wanajeshi kwa mujibu wa sheria

conscription

-weka wakkfu; tukuza

consecrate

kuweka wakfu

consecration

-a mfululizo

consecutive

kwa mfuatano

consecutively

ruhusa; kibali

consent

tokeo

consequence

-a kufuatia; -a kutokana

consequent

-a umuhimu

consequential

kwa hiyo; hivyo

consequently

hifadhi

conservation

-fikiria kuhusu

consider

-kubwa; -ingi

considerable

mno; sana

considerably

-enye kufikiria wengine

considerate

fikiria; kufikiria

consideration

-liofikiriwa

considering

mpelekewa

consignee

bidhaa; mzigo

consignment

mtumaji bidhaa

consignor

msimamo; uthabiti

consistency

-enye msimamo

consistent

maliwazo; faraja

consolation

-faraji

consolatory

-imarisha

consolidate

uimaarishaji; kujizatiti

consolidation

makubaliano; upatanifu

consonance