sauti kubwa

clang

sauti kubwa ya moja kwa moja; mgongano wa vyuma

clangor

mgongano wa vyuma

clank

-a kiukoo

clannish

mtu wa ukoo

clansman

kupigapiga kwa kiganja kuonyesha upendo

clap

mshangiliaji

clapper

maneno matupu; maneno ya kipuuzi

claptrap

mvinyo mwekundu

claret

ufafanuzi

clarification

-safisha; -chuja

clarify

klarineti; zumari

clarinet

mpiga zumari

clarinettist

parapanda; baragumu

clarion

uwazi

clarity

mgongano

clash

kifungo; kishikizo

clasp

daraja; tabaka

class

-a kiwango cha juu; -enye kujulikana

classic

uanishaji; upambanuzi

classification

-liowekwa kwenye matabaka

classified

panga (weka) katika madaraja (matabaka) mbalimbali

classify

-zuri; bora; maridadi

classy

sauti ya kishindo

clatter

sura moja katika sheria

clause

hali ya kupatwa na woga katika sehemu yenye ufinyu wa  nafasi

claustrophobia

mtulinga; mfupa wa bega

clavicle

kucha

claw

udongo wa mfinyazi

clay

safi; sahihi

clean

msafishaji

cleaner

kusafisha; usafi

cleaning

usafi; tabia ya usafi

cleanliness

-safi; -a kiusafi

cleanly

-safisha

cleanse

dawa ya kusafisha

cleanser

-lionyolewa vizuri

clean-shaven

kusafisha kabisa

cleanup

kwa uwazi

clear

kusafisha; kuondoa

clearance

vizuri; bila shida

clearly

makari; makiri

cleat

mpasuko

cleavage

ufa; mwanya

cleft

huruma

clemency

-enye huruma; -sio kali

clement

watumishi wa kanisa

clergy

mtumishi wa kanisa

clergyman

mtumishi wa kanisa

cleric

karani

clerk

-enye akili; hodari

clever

mwaliko  sauti

click

mteja

client

wateja

clientele

mteremko mkali

cliff

-a upeo; kilele

climactic

hali ya hewa

climate

-a hali  ya hewa

climatic

upeo; kilele

climax

njia ya kupanda mlima

climb

mkwezi; mpanda

climber

mbano; mfumbato

clinch

ng`ang`ania; shikamana

cling

zahaanati

clinic

sauti ya mgongano

clink

kibanio

clip

kibao cha kubania karatasi na kuandika

clipboard

genge; kundi

clique

-enye kujitenga

cliquish

kisimi; kinembe

clitoris

joho

cloak

saa

clock

kwa mzunguko wa  akrabu ya saa

clockwise

mtambo  wa saa

clockwork

donge la udongo

clod

kiatu cha gongo

clog

kiumbe kinachozaliwa toka kiumbe kimoja (bila ya tendo la ndoa)

clone

mwishoni

close

-liofungwa

closed

-enye uhusiano wa karibu

close-knit

kwa karibu

closely

ukaribu

closeness

-nye kukaa karibukaaribu

close-set

kijumba

closet

picha iliyopigwa kwa karibu sana

closeup