kasino; jengo la starehe hasa ya kamari

casino

kasiki

cask

kijaluba; kikasha

casket

maziga

casserole

kanda; kaseti

cassette

mhoba

cassia

vazi la makasisi

cassock

upangaji wa wahusika dhima katika mchezo

cast

vitoazi

castanet

mtu aliyetengwa na jamii

castaway

tabaka; hadhi

caste

-enye ngome; -enye ngome

castellated

-adhibu; -adibu

castigate

adhabu kali; kipigo kikubwa

castigation

mtu anayeadhibu

castigator

ngome; husuni

castle

-hasi; - vunja pumbu

castrate

-a kawaida

casual

paka; nyau

cat

katalogi; orodha

catalogue

kichocheo; kisisimsho

catalysis

mchocheaji

catalyst

mtambo wa kutupia mawe

catapult

balaa; janga

catastrophe

-a balaa; -enye janga

catastrophic

kuzomea

catcall

samaki waliovuliwa

catch

mdakaji

catcher

kuteka (kuchota) maji

catchment

wito

catchword

-enye kuvutia kusikiliza

catchy

-enye msimamo; -enye uhakika

categorical

namna; jinsi

category

-lisha; hudumia kwa vyakula

cater

mtu anayehudumia kwa chakula

caterer

kiwavi

caterpillar

-lia kama paka

caterwaul

hongwe

catfish

kano; uzi wa utumbo wa mnyama

catgut

utakasaji

catharsis

Mkatoliki

catholic

ng`ombe

cattle

mchunga (mswaga) ng`ombe

cattleman

-a chuki

catty

mkutano wa siri wa kuchagua wagombea viti

caucus

-a chanzo; -a sababu

causal

sababu; asili

cause

-sababisha; -leta

'cause

njia iliyojengwa juu ya bwawa

causeway

-enye kuchoma

caustic

tahadhari; uangalifu

caution

-enye kuonya; -a maonyo

cautionary

-enye hadhari

cautious

kwa tahadhari; kwa uangalifu

cautiously

maandamano

cavalcade

askari mpanda farasi

cavalier

kikosi cha farasi wapanda farasi

cavalry

askari mpanda farasi

cavalryman

pango

cave

mtu wa pangoni

caveman

pango kubwa

cavern

-enye uwazi mkubwa; -enye shimo kubwa

cavernous

-lalamikia; -kosoa bila msingi

cavil

-chachawa; -rukaruka

cavort

mlio wa kunguru

caw

-koma; -acha

cease

kusimamisha; (kuacha) mapigano

ceasefire

-sio na mwisho

ceaseless

dari

ceiling

-sherehekea; -adhimisha

celebrate

maarufu; mashuhuri

celebrated

sherehe; adhimisho

celebration

mtu mashuhuri

celebrity

wepesi

celerity

figili

celery

useja; ukapera

celibacy

mseja; kapera

celibate

seli

cell

sela; ghala chini ya ardhi

cellar

selofeni

cellophane

-a seli; -enye seli

cellular

saruji

cement

makaburini

cemetery

mnara wa kumbukumbu ya wafu waliozikwa kwingine

cenotaph