gari linalotumiwa kama nyumba; gari nyumba

caravan

kisibiti

caraway

karabini; bunduki

carbine

kabohaidreti; chakula cha wanga

carbohydrate

kaboni

carbon

kaboneti

carbonate

chupa kubwa ndani ya jamanda

carboy

kito chekundu

carbuncle

kadi

card

iliki

cardamom

karatasi nene kama ubao mwembamba

cardboard

-enye uanachama halisi (hai)

card-carrying

-a moyo

cardiac

nguo ya juu kufumwa kama sweta yenye vifungo mbele

cardigan

kadinali

cardinal

uangalifu; hadhari

care

-lazwa upande ili itengenezwe

careen

kazi; amali

career

mtu anayejali kusonga mbele katika kazi

careerist

-siyejali

carefree

-angalifu; -enye hadhari

careful

uangalifu; hadhari

carefulness

-zembe; -a ovyo ovyo

careless

bila kujali; bila uangalifu

carelessly

kutokuwa na hadhari

carelessness

kupapasa kwa mahaba

caress

-enye kuonyesha wasiwasi; woga au huzuni

careworn

sheheni; mizigo ya kusafirisha

cargo

picha ya mtu iliyochorwa katika hali ya kuchekesha

caricature

mchoraji picha za watu za kuchekesha

caricaturist

karisi; kuoza

caries

-a kuoza

carious

jeki ya gari

carjack

tripu

carload

rangi ya zambarau nyekundu

carmine

mauaji ya kumwaga damu

carnage

-a mwili; -a kuhusu mwili

carnal

kanivali; sikukuu kubwa

carnival

mnyama anayekula wenzake; mgwizi

carnivore

wimbo wa kikristo za Krismas

carol

karamu ya ulevi

carousal

-fanya karamu ya ulevi

carouse

kambare mamba; kamongo wa maji baridi

carp

zulia

carpet

kiungo cha kiganja na mkono

carpus

gari

carriage

mchukuzi

carrier

mzoga; nyama iliyooza

carrion

karoti

carrot

-chukua

carry

kigari cha kukokotwa na farasi

cart

gharama za usafirishaji

cartage

muungano wa wakiritimba ili kudhibiti biashara

cartel

mwendesha mkokoteni

carter

gegedu

cartilage

msanifu ramani

cartographer

katoni

carton

katuni; kiponzo

cartoon

mchoraji wa katuni

cartoonist

kidau cha wino

cartridge

-chonga; -tia nakshi

carve

mchonga vinyago

carver

ukataji

carving

maporomoko makali ya maji

cascade

suala; swala; kesi

case

protini

casein

kazi ya ustawi wa jamii

casework

fedha; pesa

cash

korosho

cashew

keshia; mtunza fedha

cashier

kashmiri; kitambaa cha sufi

cashmere

kizingio

casing