-fanya panda

bifurcate

-kubwa; -kuu

big

mwenye wake (waume) wawili kwa wakati mmoja

bigamist

mtu mwenye imani kali

bigot

-enye imani kali

bigoted

(hali ya) kuwa na imani kali

bigotry

mtu mashuhuri; kizito

bigwig

basikeli

bike

-a pande mbili

bilateral

nyongo

bile

banduru

bilge

-a lugha mbili

bilingual

-a nyongo; -enye nyongo

bilious

bili

bill

bango la matangazo

billboard

bilioni

billion

wimbi kubwa

billow

-a mara mbili kwa mwezi

bimonthly

chombo; tangi

bin

-a jozi; -enye jozi

binary

-funga

bind

kifaa cha kubana karatasi

binder

-a kufunga

binding

ulevi

binge

aina ya mchezo wa kamari

bingo

sanduku la dira melini

binnacle

-a biokemia

biochemical

-enye kuweza kuvundishwa kwa bekteria

biodegradable

wasifu

biography

-a kibiolojia

biological

mwanabiolojia

biologist

biolojia; elimu ya viumbe

biology

uchunguzi wa tishu kwenye darubini

biopsy

mnyama mwenye miguu miwili

biped

-enye miguu miwili

bipedal

mbetula

birch

ndege

bird

uzazi; kuzaliwa

birth

siku ya kuzaliwa

birthday

alama ya kuzaliwa

birthmark

mahali pa kuzaliwa

birthplace

kima cha uzazi; kiwango cha uzazi

birthrate

haki ya mtu kutokana na uzawa wake

birthright

biskuti

biscuit

-gawa kati

bisect

-enye jinsia mbili; -enye kupenda jinsia mbili

bisexual

askofu

bishop

ofisi ya askofu; dayosisi

bishopric

sehemu; kipande kidogo sana

bit

mbwa jike; mnyama jike wa jamii ya mbwa

bitch

kuuma; kung`ata

bite

aina ya bia

bitter

kijimbimsitu

bittern

uchungu

bitterness

lami

bitumen

kambi ya muda bila mahema

bivouac

jarida litolewalo kila baada ya wiki mbili

biweekly

shughuli (biashara) ya burudani

biz

-a ajabu; -a kigeni

bizarre

-payuka; -bwabwaja

blab