pwani; ufukwe (fukwe)

beach

mlingoti wa kuongoza meli

beacon

ushanga (shanga)

bead

-dogo ing`aayo

beady

aina ya mbwa wa kuwindia sungura

beagle

mdomo wa ndege

beak

bika

beaker

mwonzi

beam

harage; mbegu jamii ya kunde

bean

dubu

bear

-a kuvumilika

bearable

ndevu

beard

-enye ndevu

bearded

-tokuwa na ndevu

beardless

mchukuaji; mjumbe

bearer

mwendo; mwondoko

bearing

mnyama wa porini

beast

unyama; uchafu; upujufu

beastliness

-a kinyama; -a kikatili

beastly

kupiga

beat

-liopigwapigwa

beaten

mswagaji; mwindaji

beater

mtu maridadi

beau

-zuri sana; -a kupendeza sana

beautiful

kwa kupendeza sana; vizuri sana

beautifully

-fanya -zuri; -pamba;

beautify

uzuri; urembo

beauty

panya buku

beaver

kwa sababu; (kwa) maana

because

-pungia mkono; -ashiria

beckon

kitanda

bed

kunguni

bedbug

matandiko (ya kitanda)

bedclothes

tandiko

bedding

-sumbua

bedevil

mtu unayeshirikiana naye kitanda

bedfellow

-enye kulowa (kuchafuka) kwa tope

bedraggle

-gonjwa kitandani

bedridden

msingi wa mwamba

bedrock

chumba cha chakula

bedroom

kando ya kitanda

bedside

kidondamalazi

bedsore

shuka kubwa lenye mapambo linalotandikwa juu ya mashuka mengine

bedspread

muda wa kwenda kulala

bedtime

kikojozi

bed-wetter

nyuki

bee

nyama ya ng`ombe

beef

steki ya ng`ombe

beefsteak

-enye nguvu; -nene

beefy

mzinga wa nyuki

beehive

bia

beer

kiazisukari

beet

kombamwiko

beetle

-tokea; -tukia

befall

kabla

before

awali; kabla

beforehand

-chafua

befoul

-fanya urafiki na

befriend

-liyechanganyikiwa

befuddled

-ombaomba

beg

ombaomba; mwombaji

beggar

-a kimasikini; -nyonge; duni

beggarly