mkatili; mshenzi

barbarian

-choma; -banika

barbecue

-enye chembe

barbed

kinyozi

barber

-tupu; -wazi

bare

bila tandiko

bareback

pekupeku

barefoot

pekupeku

barefooted

mapatano

bargain

mashua kubwa ya mizigo

barge

mbweko

bark

mhudumu wa baa wa kiume

barkeeper

shayiri

barley

mhudumu wa baa wa kike

barmaid

mhudumu wa baa wa kiume

barman

banda la kuhifadhia majani makavu ya mifugo

barn

kombe wa baharini aambatanaye na miamba na chini ya vyombo

barnacle

-zunguka kufanya michezo ya kuigiza

barnstorm

barometa

barometer

baroni (jina la heshima la mtu mwenye cheo)

baron

mke wa baroni; baroni wa kike

baroness

jahazi lenye milingoti mitatu

barque

kambi ya maaskari

barracks

msusa; mzia

barracuda

mvua ya risasi

barrage

pipa; gudulia

barrel

kame

barren

boma

barricade

kizuizi; kikwazo

barrier

mkokoteni

barrow

mhudumu wa baa wa kiume

bartender

kubadilishana mali kwa mali

barter

mwamba wenye asili ya volkeno

basalt

kituo; kitako

base

sehemu ya nyumba iliyo chini ya ardhi

basement

kipigo cha nguvu

bash

-enye haya; -enye aibu

bashful

-a chini; a- (ki)msingi

basic

kimsingi

basically

mrehani

basil

bonde la mto

basin

msingi; kigezo

basis

-ota jua

bask

kikapu; pakacha

basket

mpira wa kikapu

basketball

sanaa ya kusuka vikapu

basketry

sanamu ya kuchora

bas-relief

ala ya tarumbeta

bassoon

nyuzinyuzi; utembo

bast

mtoto wa nje ya ndoa

bastard

-rudishia mafuta

baste

ngome ya jeshi

bastion

rungu

bat

idadi (-) kwa mkupuo

batch

kuoga

bath

kuogelea

bathe

aogaye; mwogeleaji

bather

bafu; maliwato

bathroom

bafu; beseni

bathtub

melimeli

baton

-liochakaa

battered

kupiga

battering

betri; seliumeme

battery

mapigano

battle

shoka la vita

battle-axe

uwanja wa vita; medani

battlefield

buruji; ukuta (kuta) wa boma wenye mianya ya kupenyeza bunduki au mizinga

battlement

manowari

battleship

-siye na akili timamu

batty

-pujufu

bawdy

ukelele; mguto

bawl

ghuba

bay

singe

bayonet

duka lenye vikorokoro; mtaa wenye maduka na soko

bazaar