-a nyuma

backward

kinyumenyume

backwards

mkondo wa maji unaorudisha nyuma

backwash

sehemu ya mto yenye maji yaliyotulia

backwater

ua (nyua)

backyard

bekoni; nyama ya nguruwe iliyotengenezwa kwa chumvi

bacon

-a sayansi ya bakteria

bacteriological

bakteria

bacterium

-baya; -ovu; -tundu

bad

beji

badge

melesi

badger

vibaya; mno

badly

-a kukanganya

baffling

mfuko; mkoba

bag

aina ya mkate wa mviringo

bagel

mzigo

baggage

dhamana

bail

chambo (cha samaki)

bait

kitambaa cha sufu cha kijani cha kutandika mezani

baize

-oka

bake

mwoka mikate

baker

sehemu ambayo mikate na keki huokwa

bakery

mizani

balance

ubaraza wa ghorofani

balcony

-a upara

bald

waziwazi; kwa kweli; bila kuficha

baldly

upara

baldness

robota

bale

mpira

ball

utenzi

ballad

farumi

ballast

ngoma (dansi) ya kuigiza hadithi

ballet

mchezo wa mpira

ballgame

puto; pulizo

balloon

karatasi ya kupiga kura

ballot

marhamu

balm

-a kuliwaza; -a kuburudisha

balmy

maongezi ya kipumbavu

baloney

marhamu

balsam

mwanzi

bamboo

-laghai; -tapeli

bamboozle

marufuku; kizuizi

ban

-a kawaida mno

banal

kawaida mno

banality

ndizi

banana

kikundi

band

bendeji

bandage

kasha jepesi la kuwekea kofia

bandbox

jambazi; haramia

bandit

kiongozi wa bendi

bandmaster

mwana bendi

bandsman

jukwaa la bendi

bandstand

mchezo wa hoki unaochezwa kwenye barafu

bandy

-enye matege

bandy-legged

-a kudhuru; -enye madhara

baneful

mshindo

bang

bangili

bangle

-fukuza; -hamisha mbali

banish

kizuizini

banishment

vishikio vya ngazi

banisters

benki

bank

kitabu cha benki

bankbook

mwenye benki; mkurugenzi wa benki

banker

kuendesha shughuli za benki

banking

noti

banknote

kitita cha noti

bankroll

mtu aliyefilisika

bankrupt

kufilisika

bankruptcy

bendera; bango

banner

tangazo la ndoa

banns

dhifa

banquet

aina ya kuku mdogo

bantam

utani; mzaha

banter

ubatizo

baptism

-a ubatizo

baptismal

-batiza

baptize

mwiba

barb