upatikanaji

availability

-a kupatikana; -wa tayari

available

poromoko (la theluji)

avalanche

ubahili

avarice

bahili; -enye ubahili

avaricious

-lipa kisasi; -lipiza kisasi

avenge

mlipizaji kisasi

avenger

barabara yenye miti kandokando

avenue

dai; tetea haki kwa dhati

aver

wastani

average

kutopenda; chuki kubwa

aversion

geuka

avert

sayansi na ufundi wa vyombo vya anga

aviation

-enye shauku

avid

shauku

avidity

parachichi

avocado

-epuka; -kwepa

avoid

-a kuepukika; -enye kukwepa

avoidable

kuepuka; kukwepa

avoidance

-kiri; -sema waziwazi

avow

neno dhahiri; maneno ya kukiri

avowal

-wazi; -a dhahiri

avowed

-a mjomba

avuncular

-ngojea

await

-amka

awake

-amshwa

awaken

tuzo; zawadi

award

a- macho; -wa tayari

aware

ufahamu; utambuzi

awareness

kwa kujawa na maji

awash

(kwa) mbali

away

heshima (iliyochanganyika na hofu)

awe

-a kutisha; a- kuogofya

awful

sana

awfully

-a (h)ovyo; -gumu

awkward

msharasi

awl

uywele (nywele) unaoota kwenye ua katika baadhi ya maua

awn

pazia la kuzuia jua lisipenye dirishani

awning

-liopinda

awry

shoka

axe

-a kipengo; -a mhimili

axial

kipengo; mhimili

axis

ndio; naam

aye

rangi ya samawati; buluu

azure

-ropoka; -payuka

babble

mbea; mropokaji

babbler

mtoto mchanga

babe

mkanganyiko

babel

nyani

baboon

mtoto mchanga; mtoto mdogo

baby

mwangalizi wa watoto

babysitter

digirii ya kwanza

baccalaureate

kapera; mseja

bachelor

ukapera; useja

bachelorhood

mgongo

back

maumivu ya mgongo

backache

-sengenya; -teta

backbite

egemeo; chaga

backboard

uti wa mgongo

backbone

weka tarehe ya nyuma

backdate

mdhamini; mfadhili

backer

mlipuko

backfire

aina ya mchezo wa dama

backgammon

mtazamo wa nyuma

background

nyuma ya kitanga cha mkono

backhand

kuunga mkono

backing

mlegeo

backlash

kiporo cha kazi

backlog

mfuko ubebwao mgongoni

backpack

mtu abebae mfuko mgongoni

backpacker

-badili nia

backpedal

upande wa nyuma

backside

kitufe cha kurudisha nyuma

backspace

-a nyuma ya jukwaa

backstage

ngazi za nyuma

backstairs

-rejea kulekule

backtrack

kuunga mkono

backup