mkusanyiko wa vitu anuwai

assortment

-tuliza

assuage

-fikiri; -dhani

assume

-a kujificha

assumed

dhana

assumption

uhakika; ahadi

assurance

-hakikishia

assure

-a hakika; bila shaka

assured

nyota; alama ya nyota

asterisk

pumu

asthma

-enye pumu

asthmatic

-a kufurika

astir

-staajabisha

astonish

-a kustaajabisha

astonishing

maajabu

astonishment

-shangaza

astound

-a kustaajabisha

astounding

-potea

astray

kwa kutagaa; kwa kutanua miguu

astride

mnajimu

astrologer

-a kinajimu

astrological

unajimu; utaalamu wa elimu ya nyota

astrology

mwanaanga

astronaut

sayansi na ufundi wa kuruka angani

astronautics

mamajusi; mwanafalaki

astronomer

falaki; elimu ya nyota

astronomy

-erevu; -epesi

astute

vipande vipande

asunder

kimbilio

asylum

-siopacha

asymmetric

kwenye; penye; -ni

at

ukanaji Mungu; imani kwamba hakuna Mungu

atheism

mkana Mungu

atheist

mwanariadha; mwanamichezo

athlete

-a miraba minne; -enye ukakamavu

athletic

michezo ya riadha

athletics

kwa kukingamana

athwart

kitabu cha ramani

atlas

angahewa; hewa ya mahali

atmosphere

-a hewa; -a angahewa

atmospheric

atomu; kipande kidogo mno

atom

-fanya kuwa chembechembe

atomize

-lipia kosa

atone

kutubu; toba

atonement

juu ya

atop

-a kikatili; -a ukatili

atrocious

ukatili

atrocity

-fungia; -shikiza

attach

uambatishaji

attachment

shambulio

attack

-pata; -ongeza

attain

-enye kupatikana; -kufikika

attainable

kupatikana

attainment

jaribio

attempt

-hudhuria

attend

mahudhurio

attendance

mtumishi

attendant

usikivu; uangalifu

attention

-sikivu; -angalifu

attentive

kwa makini

attentively

usikivu

attentiveness

-zimua; -fifisha

attenuate

-hakikisha; -thibitisha

attest

uthibitisho; ushuhuda

attestation

dari

attic

mavazi

attire

mkao; jinsi ya kusimama

attitude

-jifanya (kwa kuchukua tabia na vitendo vya mtu mwengine)

attitudinize

wakili; mwanasheria

attorney

Mwanasheria Mkuu

attorney-general

-vutia; -pendeza

attract

mvuto

attraction

-a kimvutano

attractive

sifa ya msingi

attribute

-a kivumishi

attributive

kwa kivumishi cha nomino

attributively