-a sanaa

artistic

-siye na hila

artless

sanaa

arts

-panda

ascend

mamlaka

ascendance

upaaji; kupaa

ascent

mtu anayejinyima anasa za mwili

ascetic

hali ya kujinyima anasa za mwili

asceticism

-dhania ndio sababu ya

ascribe

kutokuwa na bekteria

aseptic

-sio rahisi kuonyesha jinsia

asexual

mjivujivu

ash

-enye kuona haya

ashamed

pwani; ufukweni

ashore

chombo cha kuwekea majivu ya sigara

ashtray

upande; kando

aside

-uliza; -omba

ask

-tazama mtu kwa wasiwasi

askance

-liopotoka

askew

mshazari

aslant

-lala

asleep

-a kujitenga na jamii

asocial

kipengele; mwelekeo

aspect

ukatili

asperity

lami

asphalt

uvutaji wa moshi wenye sumu

asphyxia

nyima punzi

asphyxiate

nyamaute

aspic

mtamani

aspirant

-vuta pumzi

aspirate

hamu ya kupata kitu bora

aspiration

tamani ku..

aspire

aspirini

aspirin

punda

ass

-shambulia

assail

mwuaji

assassin

ua

assassinate

mauaji

assassination

shambulio

assault

-pima ubora wa

assay

-kusanya; -kusanyika

assemble

mkusanyiko

assembly

ridhaa; idhini

assent

-shikilia; -sisitiza

assert

utetezi

assertion

-a hakika; -a kujiamini

assertive

-tathmini

assess

tathmini

assessment

mshauri wa hakimu (jaji)

assessor

kitu chenye thamani; mtu mwenye thamani; mali

asset

mali; rasilimali zinazohodhiwa kwa uzalishaji

assets

-nena kwa uthabiti

asseverate

jitihada; bidii

assiduity

-enye juhudi; -enye bidii

assiduous

-toa; -gawa

assign

-pata; -fyonza

assimilate

kupata; kufyonza

assimilation

-saidia

assist

msaada

assistance

msaidizi

assistant

mwenzi; mshiriki

associate

ushirikiano; muungano; jumuiya

association

mshabaha wa irabu za shada katika maneno mawili

assonance

anuwai; -a namna nyingi mbalimbali

assorted