mkono

arm

kundi kubwa la manowari

armada

zana za vita

armament

utepe (tepe) wa mkononi

armband

kiti chenye mikono

armchair

-enye silaha

armed

tundu la mkono

armhole

mapatano ya kusimamisha vita kwa muda

armistice

utepe (tepe)wa mkononi

armlet

kwapa

armpit

jeshi

army

harufu nzuri

aroma

-enye harufu nzuri

aromatic

pande zote; karibu;

around

mwamsho

arousal

-amsha; -shtua

arouse

-panga; -weka kwa utaratibu

arrange

mpango; utaratibu

arrangement

panga;

array

madeni

arrears

kukamata; kushika

arrest

kuwasili; kufika

arrival

-fika; -wasili

arrive

ufidhuli; kiburi

arrogance

-enye kiburi

arrogant

mshale

arrow

ncha ya mshale

arrowhead

ghala ya silaha

arsenal

uchomaji mali kwa makusudi

arson

mchomaji mali kwa makusudi

arsonist

sanaa

art

kitu kilichobuniwa

artefact

-a mshipa mkubwa wa damu

arterial

ugumu wa kuta za ateri

arteriosclerosis

mshipa mkuu wa damu

artery

-stadi; -janja; -erevu

artful

ugonjwa wa yabisi kavu

arthritis

ua la rubaruti

artichoke

makala

article

-a kuhusiana na viungo

articular

-enye kueleza kwa ufasaha

articulate

hali ya kujieleza kwa ufasaha

articulation

hila

artifice

bandia; -a kinafiki

artificial

silaha za vita

artillery

msanii

artist

msaniitendi; mwanasanaa

artiste