kila mojawapo

apiece

kujiamini

aplomb

-a kuomba radhi; -a kukiri

apologetic

-omba radhi; -kiri

apologize

kuomba radhi; kukiri

apology

-a kiharusi

apoplectic

kiharusi

apoplexy

ukanaji; uasi wa dini

apostasy

mwenye kuasi dini

apostate

-tisha; -ogofya

appal

-a kutisha; -a kuogofya

appalling

mavazi

apparel

dhahiri; wazi

apparent

inavyoonekana

apparently

mzuka; kivuli

apparition

rufaa / ombi

appeal

kwa kusihi; kwa maombi

appealingly

-jitokeza / -hudhuria

appear

kujitokeza; kuhudhuria

appearance

-kidhi; -tosheleza

appease

suluhu; tulizo

appeasement

jina

appellation

-ambatisha; -ongeza mwishoni

append

kiambatisho; nyongeza

appendage

(ugonjwa wa) kidole tumbo

appendicitis

kiambatisho

appendix

-wa mali ya; -wa kitu cha

appertain

hamu ya kula; uchu

appetite

kiamsha hamu

appetizer

-a kutamanisha

appetizing

-piga makofi

applaud

makofi

applause

tofaa

apple

-a kutumika; -a husikayo

applicable

maombi

application

pambo kilichoshonwa kwenye nguo

applique

-omba

apply

-teua; -ajiri

appoint

-lioteuliwa

appointed

uteuzi

appointment

-gawa; gawanya

apportion

mrejeosawa

apposition

tathmini; makadirio

appraisal

-kadiria; -tathmini

appraise

-thamini

appreciate

shukurani

appreciation

-enye shukurani

appreciative

-kamata; -shika

apprehend

kukamata; kushika; / kufahamu

apprehension

-enye hofu

apprehensive

mwanafunzi wa ufundi; mwanagenzi

apprentice

uanagenzi; muda wa kujifunza

apprenticeship

mtazamo

approach

-a kuingilika; -a kufikika

approachable

kibali; idhini

approbation

-idhinisha

appropriate

kwa kufaa

appropriately

kibali; idhini

approval

-kubali; -idhinisha

approve

-karibia

approximate

takriban; karibu sana

approximately

karibiano

approximation

tunda kama embe dodo

apricot

-a kufaa

apropos

-a kufaa; sahihi

apt

kipaji; uwezo

aptitude

kwa kufaa

aptly

tangisamaki

aquarium

mferejidaraja

aqueduct

-enye kulimika

arable

-toa uamuzi; -patanisha

arbitrate

maamuzi; usuluhishi

arbitration

mwamuzi; msuluhishi

arbitrator

kivimbe; tao

arc

-a kiolojia; -a elimu ya kale

archaeological

mwanaakiolojia

archaeologist

akiolojia; elimu kale

archaeology

malaika mkuu

archangel

askofu mkuu

archbishop

msaidizi wa askofu

archdeacon

-enye tao

arched

adui mkuu

archenemy

mpiga mshale

archer

ufundi wa kupiga mshale

archery

msanifu majengo

architect

-a kiusanifu majengo

architectural

usanifu majengo

architecture

hifadhi za nyaraka

archives

mhifadhi nyaraka

archivist

akitiki; kaskazini ya dunia

arctic

-a shauku; -enye bidii

ardent

-gumu

arduous

eneo; mawanda

area

uwanja wa michezo

arena

-a kujadilika; -a kubishaniwa

arguable

-bisha

argue

hoja

argument

kubishana; kutoa hoja

argumentation

-bishi

argumentative

wimbo wa sauti moja katika opera

aria

-kavu sana; yabisi; kame

arid

-tokea; -tukia

arise

tabaka la juu; utawala wa kikabaila

aristocracy

mtu wa ukoo wa kuitawala

aristocrat

sayansi ya namba; hesabu

arithmetic

-a sayansi ya namba; -a hesabu

arithmetical

safina

ark