mtu atendaye kazi ya ufundi au sanaa kwa kuipenda bila kutegemea malipo

amateur

si -a ufundi hasa; si stadi sana

amateurish

uridhaa

amateurism

-staajabisha; shangaza

amaze

mshangao; fadhaa

amazement

balozi

ambassador

kaharabu

amber

mandhari

ambiance

utata; hali ya kuwa na maana nyingi

ambiguity

tata; -a utata

ambiguous

tamaa ya makuu; lengo

ambition

-enye nia au tamaa ya kuendelea

ambitious

hisia kinzani

ambivalence

-enda dalji

amble

anayekwenda dalji

ambler

gari la wagonjwa

ambulance

-hamisha; -sogeza

ambulate

uvamizi wa kuvizia; shambulio la kuvizia

ambush

amin; na iwe hivyo

amen

dhima

amenability

-tiifu; -sikivu

amenable

-sahihisha; -fanya -zuri zaidi

amend

marekebisho; masahihisho

amendment

malipo kwa jambo baya

amends

huduma inayofanya maisha kuwa mazuri

amenity

ukunjufu; upole

amiability

-pole; -ema

amiable

-a kirafiki

amicable

kati ya; katikati ya;

amid

kati ya; katikati ya;

amidst

-sio barabara; -sio sahihi

amiss

urafiki; uhusiano mwema

amity

ameta

ammeter

amonia

ammonia

risasi; baruti

ammunition

msamaha

amnesty

baina ya; miongoni mwa

among