dai; shtaka; lawama

allegation

-ng`ang`ania; shikilia

allege

-enye kudaiwa

alleged

kama inavyodaiwa

allegedly

utii

allegiance

-a kiistiri

allegorical

istiari

allegory

haraka

allegro

-enye mzio

allergic

mtaalamu wa mzio

allergist

mzio; wenga

allergy

-tuliza; -punguza

alleviate

tulizo; upunguzaji; faraja

alleviation

kichochoro; njia nyembamba

alley

kichochoro

alleyway

ushirikiano

alliance

-enye uhusiano

allied

mamba wa Marekani na China

alligator

muhimu

all-important

takriri; marudio (ya silabi za mwanzo

alliteration

-a kukesha / -a usiku kucha

all-night

-toa kwa; / -tenga

allocate

mgao; fungu; sehemu iliyotengwa

allocation

-pa; -toa / -tenga; -gawia

allot

mgawanyo

allotment

-ruhusu; -kubalia

allow

-enye kuruhusiwa; -a kujuzu

allowable

ruzuku; posho

allowance

-stadi kwa kila fani

all-round

aina ya kiungo chenye ladha ya mchanganyiko wa kungumanga, karafuu na mdalasini

allspice

-a wakati wote

all-time

-dokezea

allude

-a kuvutia; -a kutamanisha

alluring

dokezo

allusion

rafiki

ally

shajara yawaka

almanac

-enye nguvu zote; -enye enzi

almighty

lozi

almond

karibu; nusura; takriban

almost

sadaka (kwa maskini)

alms

-a pekee; pweke

alone

pwani; ufukweni

alongshore

kandokando; ubavuni

alongside

-siyeonyesha hisa kwa urahisi

aloof

kwa sauti

aloud

abjadi; alfabeti

alphabet

-a (kufuata) alfabeti

alphabetic

-a (kufuata) alfabeti

alphabetical

kwa kufuata alfabeti

alphabetically

-fuata alfabeti

alphabetize

-a mlima mrefu; -enye kuota mlimani

alpine

tayari

already

pia; na tena

also

madhabahu; meza ya kutolea dhabihu

altar

-badilisha; -geuza

alter

badiliko; marekebisho

alteration

mzozo; ugomvi; mabishano

altercation

-fanya kwa zamu; -badilishana

alternate

kwa zamu; kwa mapokezano

alternately

matukio ya zamu

alternation

mbadala; uchaguzi badili

alternative

badala ya

alternatively

altaneta; kigeuzio

alternator

ingawa; ijapokuwa

although

altimeta

altimeter

kimo; mwinuko (kutoka kwa bahari)

altitude

alto; sauti nzito

alto

kwa pamoja / kwa jumla

altogether

alumina

alumina

aluminiamu

aluminum

daima; siku zote

always

asubuhi

am

muungano; mchanganyiko

amalgamation

-kusanya; -lundika; -limbikiza

amass