mfuko wa kinga katika ajali

airbag

kituo cha ndege

airbase

-enye kurushwa hewani

airborne

burashi ya upepo ya rangi

airbrush

kiyoyozi

air-conditioner

kiyoyozi

air-conditioning

-liopozwa kwa hewa

air-cooled

ndega

aircraft

kudondoshwa kutoka angani kwa mwavuli

airdrop

kiwanja kidogo

airfield

mpepe; bawa la ndege

airfoil

wepese; hali ya kuwa na wingi wa hewa

airiness

uchukuaji kwa ndege

airlift

shirika la ndege

airline

ndege ya abiria

airliner

barua ya ndege

airmail

mwanahewa; mwanaanga

airman

ndege; eropleni

airplane

uwanja wa ndege

airport

-liyechefukwa angani

airsick

chefukwa angani

airsickness

anga la nchi / anga hewa

airspace

shambulio la anga

airstrike

kishoroba cha kutulia; uwanja mdogo wa ndege

airstrip

muda wa kipindi

airtime

nyendo za wanajeshi wakiwa angani

air-to-air

njia ya ndege

airway

-enye kufaa kusafiri angani

airworthy

-enye wingi wa hewa

airy

njia baina ya viti kuelekea altareni

aisle

-lio wazi kidogo; -liofunguliwa kidogo

ajar

-a damu moja; - jamaa moja

akin

jasi

alabaster

hima; wepesi

alacrity

kengele ya kamsa

alarm

-liyeogopa; -enye hofu

alarmed

-a kutia hofu; a- kutisha

alarming

mvumishaji wa mambo ya kutisha

alarmist

lakini!

alas

joho

alb

ingawa; ijapokuwa

albeit

uzeruzeru

albinism

zeruzeru; albino

albino

album

album

ute wa yai

albumen

kitu kama ute wa yai

albumin

-enye ute wa yai

albuminous

elimu ya alkimia

alchemy

alikoholi; kileo; kilevi

alcohol

mlevi sugu

alcoholic

hali ya ulevi wa kupindukia

alcoholism

mjumbe; diwani; mzee wa baraza la mji

alderman

pombe

ale

kamsa

alert

mwani; mchipwi

alga

aljebra

algebra

lakabu; jina bandia; jina la kupanga

alias

udhuru

alibi

mgeni / kitu kigeni katika mazingira

alien

-a kuhamishika

alienable

-farakisha; -tenga

alienate

utenganishaji; mfarakano

alienation

-unguza (teketeza) kitu kwa moto

alight

-weka (-panga) katika mstari ulio sawa

align

mfuatano; mfungamano

alignment

sawasawa; -enye kufanana

alike

-a chakula

alimentary

masurufu; pesa za kujikimu

alimony

-zima; hai

alive

-a alkalini

alkaline

-ote; kila

all

-punguza

allay