-enye umri

aged

-a milele; -a kudumu mpaka mwisho

ageless

uwakala; uajenti

agency

ajenda

agenda

wakala; ajenti

agent

-enye kukusanyika; -a kurundikana

agglomerate

kusanyo; rundo; mkusanyiko

agglomeration

-ambatisha; -bandika

agglutinate

ambatisho; uambishaji

agglutination

-jiongezea; -jitwaza

aggrandize

kujiongezea; kujitwaza

aggrandizement

-kuza (-ongeza) ubaya wa kitu

aggravate

-enye kukuza ubaya

aggravating

kukuza (kuongeza) ubaya wa kitu

aggravation

-a mchanganyiko; -enye mkusanyiko

aggregate

mkusanyiko

aggregation

uchokozi; ushari; shambulio

aggression

-enye tabia ya kuanzisha ugomvi

aggressive

kwa shari

aggressively

tabia ya ugomvi

aggressiveness

mshari; mgomvi

aggressor

-liyetiwa uchungu; -liyesikitishwa

aggrieved

-liyetishwa mno; -liyepigwa na butwaa

aghast

-nyumbufu; -epesi

agile

-fanya isiwe na raha; -tia wasiwasi

agitate

-enye wasiwasi; -enye mashaka

agitated

wasiwasi; mashaka

agitation

mchochezi; mfitini

agitator

mtu asadikiye kuwa hakuna habari za Mungu na wala hazipatikani

agnostic

zamani; -liopita

ago

kwa shauku

agog

-wa na maumivu makali; -umia vibaya

agonize

-enye maumivu makali; -a kuumizwa vibaya

agonized

-a kuumiza sana; -a mateso

agonizing

maumivu

agony

woga wa nafasi kubwa zilizowazi

agoraphobia

-kubaliana; -patana

agree

-enye kujiandaa kukubali

agreeable

kupatana; kukubaliana

agreeableness

-a kukubaliana;

agreed

maafikiano; kupatana

agreement

-a kilimo; -a ukulima

agricultural

bwana shamba; bwana kilimo

agriculturalist

kilimo; ukulima

agriculture

mkulima

agriculturist

mtaalamu wa kilimo

agronomist

sayansi ya uchumi wa kilimo; agronomia

agronomy

kwa kupwelewa; kwa kukwama

aground

aa!

ah

mbele; kabla (ya)

ahead

msaada; huduma

aid

msaidizi

aide

mpambe

aide-de-camp

upindo wa bawa la nyuma

aileron

-enye kuumwa; -a kuugua

ailing

ugonjwa

ailment

shabaha; azma / lengo

aim

-sio na lengo

aimless

bila sababu

aimlessly

hewa; anga

air