abakusi; abaki

abacus

karibu na tezi (staha)

abaft

lioachwa; -liotupwa; liotelekezwa

abandoned

telekeza

abandonment

jidhalilisha; jifedhehesha / shusha hadhi (thamani); jitweza

abase

udhilifu; udhalili

abasement

tahayarishwa; fedheheshwa;

abashed

-punguza; pungu(k)a

abate

kupunguza; mpunguko

abatement

machinjioni

abattoir

mama mkuu; bi mkuu

abbess

makao ya watawa; zawia

abbey

abate

abbot

-fupisha

abbreviate

ufupisho; kifupisho

abbreviation

-jiuzulu

abdicate

kujiuzulu

abdication

fumbatio; tumbo

abdomen

-a fumbatio; -a tumbo

abdominal

-torosha

abduct

utoroshaji

abduction

mtoroshaji

abductor

kukingama

abeam

-a upotovu; -a kupotosha

aberrant

mkengeuko; upotovu; mgeuzo

aberration

-chochea; hamasisha;

abet

mshiriki wa jinai; mtu anayeshuhudia kosa na hataki kueleza

abetter

mshiriki wa jinai; mtu anayeshuhudia kosa na hataki kueleza

abettor

-kirihika; -ona karaha; -kereka; -chukia sana

abhor

karaha; kero; chuki kubwa

abhorrence

-a kuchukiza; -a karaha; -a kuchusha

abhorrent

-fuata (shika); tii; -timiza

abide

-a kudumu; -a milele

abidingly

uwezo / uhodari

ability

dhalili; -a kinyonge

abject

ufukara; ukata

abjectness

kukana

abjuration

-kana

abjure

mmomonyoko

ablation

kunyambulisha; kunyumbua

ablative

-waka; / -a kung`aa; -a kumeremeta

ablaze

hodari; -a kuweza; -enye akili

able

-enye kufaa na nguvu

able-bodied

udhu

ablution

udhu

ablutions

kiustadi; kiakili; kwa uhodari; kwa akili

ably

kana; kanusha

abnegate

sio -a kawaida

abnormal

kutokuwa kawaida

abnormality

isivyo kawaida

abnormally